Kam kauwaaaaaβοΈβοΈβοΈπ³π¬π³π¬π³π¬π³π¬π³π¬π³π¬π³π¬π§’
Nigeria ndiyo bigwa kama hutaki kunywa sumuIvory Cost wakishinda nampa
Mtego huu ametegea valentine ndyo anarudi π€£π€£
Yaani hakuna kupos tutaona moto sanaHawa Tanesco tusaidiane kupaza sauti
Ka vipi wang'oe tu umeme wao huku Mbeya.
Warembo amakumbe Afcon ya 2025 itachezwa morocco. tutafaidi saaana.
iyo ndio ilkua footbal sio mchezaji akilambwa kidogo tu VAR Roy keane alikua anachapa kiatu kweli kweli uyo Carlvalho ilikua akienda tu kushambulia kona lazima amtie mtu midolo machoni ukisogea tu kumkaba anakutia midole machoniDrogba, Rooney, Henry, Torres, Vita ilikua ni Nzito, Unakula Kiwiko, Refa anashtukia tuu Mtu kaloa Damu, Hakuna cha VAR wala nini,
Nina hela basi????Mtego huu ametegea valentine ndyo anarudi π€£π€£
Hawa Tanesco tusaidiane kupaza sauti
Ka vipi wang'oe tu umeme wao huku Mbeya.
Ana kadiyule mtoto Diakite anahitajika umo Ndani
Mi Ivory Coast ikishinda ndio Nampa na ndio msimamo wangu..Nigeria ndiyo bigwa kama hutaki kunywa sumu
Mpe mwenzako dudu washa acha wivu View attachment 2901274
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwakani tena hii michuano ipo mbona wanageuza kama kombe la mbuzikumbe Afcon ya 2025 itachezwa morocco. tutafaidi saaana.
Ujuaji mwingi uondoa maarifa hawezi kuona joto lilivyo juu kupita kiasi na watu wanakimbia
Na sio TZ Zanz KE UG tena?kumbe Afcon ya 2025 itachezwa morocco. tutafaidi saaana.
kandanda safiWarembo ama
Kwa sababu 2023 haikufanyika due to coronavirusMwakani tena hii michuano ipo mbona wanageuza kama kombe la mbuzi
2027Na sio TZ Zanz KE UG tena?