United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
tulia usubiri kichapo Goli linarudi iliNiliweka alarm nivoamka nikanawa na maji ya baridi hapa nipo gudooo[emoji144]!
Hizo hizo mtagawana 🤣Nina hela basi????
Relax kunywa maji mkuu, sio kila kitu uchukulie siriazH
Ujuaji mwingi uondoa maarifa hawezi kuona joto lilivyo juu kupita kiasi na watu wanakimbia
Yap ni mwakani 2025 inachezwa tena...Mwakani tena hii michuano ipo mbona wanageuza kama kombe la mbuzi
hivi unajua kama Afcon hii inahesabika ni 2023. kwa hiyo mwakani mwezi 6 2025 kinaweza kikapigwa then 2027 ngoma inatua uwanjani.Mwakani tena hii michuano ipo mbona wanageuza kama kombe la mbuzi
ahaaa nimekulewa ile ya 2022 ilikua ni ya 2021 na hii ya 2024 ni ya 2023Kwa sababu 2023 haikufanyika due to coronavirus
Thubutuuuu! Hamrudishi nakwambiatulia usubiri kichapo Goli linarudi ili
Kuna mwamba alikuwa Bolton anaitwa Kevin Davies. Straika lakini anaongoza kwa kadi za njano anapiga sana viwikoDrogba, Rooney, Henry, Torres, Vita ilikua ni Nzito, Unakula Kiwiko, Refa anashtukia tuu Mtu kaloa Damu, Hakuna cha VAR wala nini,
Niko Cote D'Ivoire mimiHivi kuna shabiki wa Ivory Cost humu au wote ndio mnashoboka na Mask ile??
Ogaaaaaaa!!!Osimhen[emoji2][emoji2][emoji2]Hivi kuna shabiki wa Ivory Cost humu au wote ndio mnashoboka na Mask ile??
2027 hiyo itakuwa..Na sio TZ Zanz KE UG tena?
Kwann mtafaidikumbe Afcon ya 2025 itachezwa morocco. tutafaidi saaana.
Hivi kuna shabiki wa Ivory Cost humu au wote ndio mnashoboka na Mask ile??
Kivipi! Au TANESCO hawatakata umeme tena?kumbe Afcon ya 2025 itachezwa morocco. tutafaidi saaana.
Hadi sasa siioni 120, uchu wa mabao ni mkubwa mno. Najua Ivory Coast watarudi kama ambavyo huwa wanarudi 2nd half na hii ndiyo inanipa sana imani ya kutoenda 120.Mdakuzi unaonaje hii game? Tutaenda 120?
kaaaa kwa kutulia Sebastian Haller bado yupo NdaniThubutuuuu! Hamrudishi nakwambia
Morocco wako more advanced katika vingi sana in relation with other countries in Africa.Kwann mtafaidi