2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

IMG_9915.jpeg
 
Mdakuzi unaonaje hii game? Tutaenda 120?
Hadi sasa siioni 120, uchu wa mabao ni mkubwa mno. Najua Ivory Coast watarudi kama ambavyo huwa wanarudi 2nd half na hii ndiyo inanipa sana imani ya kutoenda 120.

Coz Naija nao wamekuwa wazuri kwenye kuokoa na kuzima mashambulizi pamoja kutengeneza mashambulizi imara. Tuna mechi ya hadhi ya fainali.

Ova
 
Back
Top Bottom