2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Golikipa wa South Africa ndiye kipa bora wa mashindano kwa kigezo cha Clean Sheet
Hata bila ya kutazama takwimu, south Africa goalkeeper kafanya vzr Afcon!!

Hizi takwimu za soka Hasa la kileo,zinaacha matobomatobo mengi.

Takwimu katika soka la kileo Huwa nakubaliana na Jose Mourinho!!

Wakati mwingi takwimu ni kama kipande Cha nyama choma,inavutia kumbe ndani mbichi..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…