2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

78'==

Victor Osimhen (Nigeria) anahitaji matibabu, hivyo mwamuzi anasimamisha mchezo na kutoa ishara kwa physio kuja uwanjani.
 
Hawa dawa yao hakuna kununua LUKU raia wote wa TZ tunaweka mgomo. Ndaani ya wiki moja wanasolve tatizo nakuhakikishia ndani ya mwezi tunapata umeme wa uhakika
Tanzania hakunaga umoja kama huo. Utapoteza muda wako bure.

Usinunue LUKU wakati wengine ndio wanaingiza pesa kupitia LUKU
 
Back
Top Bottom