cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Yaan Giants wanaleta maajabu tyuuh, woiiiih[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16]Ngoja utaona
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan Giants wanaleta maajabu tyuuh, woiiiih[emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji16]Ngoja utaona
Ni swala la muda tu mkuuNamibia sikuwategemea wana mpira wa kueleweka. Stars naona hakutakua na kitu, kupeleka CCM na mropokaji Chalamila imenikata maini, kwamba unapeleka Chalamila?
Si Bora Bongozozo
Maineeeeeeee, angalia NAMIBIA wanavyomuwashia moto Tunisia. Never, hatuwezi kuupiga mpira kama huo.
Wameenda na Mabango ya Nani kama Samia. Nchi hii ina kichefuchefu kingi sana.Namibia sikuwategemea wana mpira wa kueleweka. Stars naona hakutakua na kitu, kupeleka CCM na mropokaji Chalamila imenikata maini, kwamba unapeleka Chalamila?
Si Bora Bongozozo
yule mshambuliaji hatari wa mamelod peter shalulile anatokea huko NAMIBIA hivi yumo humo kikosiniNamibia sikuwategemea wana mpira wa kueleweka. Stars naona hakutakua na kitu, kupeleka CCM na mropokaji Chalamila imenikata maini, kwamba unapeleka Chalamila?
Si Bora Bongozozo
Nakaziahivi vikao vya ccm vya hovyo ndo vitafanya tupoteze mechi
Umeandika kwa uchungu sanaHivi sisi tutaweza kupata hata on target kwa Morroco
Tunaweza tukapata ila kubondwa tutabondwa tuHivi sisi tutaweza kupata hata on target kwa Morroco