Tumeshinda mkuuHawa Namibia wanaumwa ugonjwa wa Tanzania...
Ilipaswa wawe na goli mbili clearr...
πππ
ImeishaaaWaarabu chali kimoja
Jamaa wanafiki sana mkuu.Marco Polo πππππ
Timu zangu mbili zishawabutua.Game za Leo 16/01/2024.
View attachment 2873157
Niko na;
1. Burkina Faso
2. Namibia
3. South Africa.
Mkuu, kwamba umesema???Kesho tutapiga Morocco goli za kutosha sana
Watashanga
Nimekaa pale....
Ndio, ila performance haijaridhisha.peter shalulile alikuwemo?
Mm ntakua nimekaa hapa hapa sihitaj hata kukaa pale[emoji23].Nimekaa pale....
Hajatoa Assistndie alietoa assist ya goli namuheshi sana huyo jamaa kwa kitu kimoja tu nacho ni kutodanganya umri wake jamaa ana miaka 34 lakini ukimuangalia ukiambiwa ana 26 haukatai !
Hii Afcon watu watatoana roho.
Majuzi wakati Afcon inaanza Coach Pitso alisema underdog ambaye pia wa kuangalia ni Namibia na kweli Namibia inavoonekana hajaja kusindikiza watu.
Kesho ndo tutajua kwamba sisi tumefuzu kwa style gani na ilikuaje had tuko AFCON ayo yote mda kama huu kesho yatakua yashaanza kujulikana.
Hakuna cha heshima mkuu.Sjacheki game leo ila napongeza matokeo ya namibia, kongole nyingi
Tusiache kuiombea TZ kesho wakuu hata kama tukipoteza game tupoteze kwa heshima[emoji1787]
Ni kweli sijakataa mkuu, lkn sio kwa maneno tu kesho tuoneshe uwezo kama team zngne ndg ndg zinavoonesha kungangania mataifa makubwa kooni.Na sisi ni underdog, lolote tunaweza lifanya huko.
Kuota sio dhambiKesho tutapiga Morocco goli za kutosha sana
Watashanga
Jana niliona kocha analalamikia kuwa morocco wanapanga kila kitu yani hata marefa wanachagua waoHakuna cha heshima mkuu.
Kama tunataka kuonesha mpr wetu umepiga hatua lzm tucheze kama aya mataifa madg mengne yalivo onesha kua yamepiga hatua.
Sio tu kwenda kule kueneza propaganda za kisiasa tuoneshe uwezo kua na sisi tuna team ya maana.. Ni aibu sana watu almost 70M sijui tunakosa team ya maana had sasa... Wkt kuna nchi ni visiwa tu vinaonesha uwezo wa hali ya juu.
Tukifungwa hata 1-0 hakuna cha matumain tutakua tumefungwa cha muhm tuoneshe kua sisi sio wanyonge tumepiga hatua vinginevyo project yetu itakua FAILURE ukilinganisha na mataifa mengne madg yanayo onesha uhai had sasa.
Usimba na uyanga hauna nafasi hayo ndio mnapelekaga starsDjigue diarra langoni Mali. mchezaji wa pili kuwakilisha Yanga Baada ya Aziz K.
NakaziaNi kweli sijakataa mkuu, lkn sio kwa maneno tu kesho tuoneshe uwezo kama team zngne ndg ndg zinavoonesha kungangania mataifa makubwa kooni.