2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

peter shalulile alikuwemo?
Ndio, ila performance haijaridhisha.
Screenshot_20240116-224101.jpg
 
ndie alietoa assist ya goli namuheshi sana huyo jamaa kwa kitu kimoja tu nacho ni kutodanganya umri wake jamaa ana miaka 34 lakini ukimuangalia ukiambiwa ana 26 haukatai !
Hajatoa Assist

Kuhusu umri naona sofascore wameandika ana 30yrs
 
Sjacheki game leo ila napongeza matokeo ya namibia, kongole nyingi

Tusiache kuiombea TZ kesho wakuu hata kama tukipoteza game tupoteze kwa heshima🤣
 
Hii Afcon watu watatoana roho.

Majuzi wakati Afcon inaanza Coach Pitso alisema underdog ambaye pia wa kuangalia ni Namibia na kweli Namibia inavoonekana hajaja kusindikiza watu.

Kesho ndo tutajua kwamba sisi tumefuzu kwa style gani na ilikuaje had tuko AFCON ayo yote mda kama huu kesho yatakua yashaanza kujulikana.

Na sisi ni underdog, lolote tunaweza lifanya huko.
 
Sjacheki game leo ila napongeza matokeo ya namibia, kongole nyingi

Tusiache kuiombea TZ kesho wakuu hata kama tukipoteza game tupoteze kwa heshima[emoji1787]
Hakuna cha heshima mkuu.

Kama tunataka kuonesha mpr wetu umepiga hatua lzm tucheze kama aya mataifa madg mengne yalivo onesha kua yamepiga hatua.

Sio tu kwenda kule kueneza propaganda za kisiasa tuoneshe uwezo kua na sisi tuna team ya maana.. Ni aibu sana watu almost 70M sijui tunakosa team ya maana had sasa... Wkt kuna nchi ni visiwa tu vinaonesha uwezo wa hali ya juu.

Tukifungwa hata 1-0 hakuna cha matumain tutakua tumefungwa cha muhm tuoneshe kua sisi sio wanyonge tumepiga hatua vinginevyo project yetu itakua FAILURE ukilinganisha na mataifa mengne madg yanayo onesha uhai had sasa.
 
Jana niliona kocha analalamikia kuwa morocco wanapanga kila kitu yani hata marefa wanachagua wao

Maneno ya kocha wetu hayo,

Tuzidishe maombi na matambiko tu🤣
 
Back
Top Bottom