[emoji23][emoji23]Kocha anajarb kuleta sinema wkt wa kazi.Jana niliona kocha analalamikia kuwa morocco wanapanga kila kitu yani hata marefa wanachagua wao
Maneno ya kocha wetu hayo,
Tuzidishe maombi na matambiko tu[emoji1787]
Yani mataifa yanapambana tunaona ye anashiba mihogo analeta propaganda za siasa,,[emoji23][emoji23]Kocha anajarb kuleta sinema wkt wa kazi.
Izo kama ni mind games ajue kbs hazisaidii kitu hao wachezaj wa Morocco wamecheza izo mind games sana had wamefika hatua ya Nusu final ya World Cup.
Kwhy yy aandae team kesho tutaona wnyw kwl Morocco anachagua marefa au laa.
Ivo visingizio cheap sana kuleta wkt game bd yy aandae wachezaj wakapambane.. Porojo izo za vijiweni kwny kahawa aache.
Mimi nipo na Tau.Huku kuna Diarra huku kuna Tau
Sijui nimsapoti nani
Nyerere aliuiba.Wimbo wa taifa wa south Africa unafanana Sana na wa kwetu
Kbs yy analeta porojo za kwny vijiwe vya mihogo.Yani mataifa yanapambana tunaona ye anashiba mihogo analeta propaganda za siasa,,
Vijana wapambane kesho, nataka wadraw tu
πππNyerere aliuiba.
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikuulizi sababu maana naijuaMimi nipo na Tau.
Mwnyw naunga mkono hoja.Hii mechi inaweza kuwa na magoli mengi, kwa uchezaji wa S.A sioni wakitoboa.
sio kwamba wa south ndio waliiba kwetuNyerere aliuiba.
[emoji23]Sikuulizi sababu maana naijua