2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

South Africa XI
IMG_9417.jpeg
 
Jana niliona kocha analalamikia kuwa morocco wanapanga kila kitu yani hata marefa wanachagua wao

Maneno ya kocha wetu hayo,

Tuzidishe maombi na matambiko tu[emoji1787]
[emoji23][emoji23]Kocha anajarb kuleta sinema wkt wa kazi.

Izo kama ni mind games ajue kbs hazisaidii kitu hao wachezaj wa Morocco wamecheza izo mind games sana had wamefika hatua ya Nusu final ya World Cup.

Kwhy yy aandae team kesho tutaona wnyw kwl Morocco anachagua marefa au laa.

Ivo visingizio cheap sana kuleta wkt game bd yy aandae wachezaj wakapambane.. Porojo izo za vijiweni kwny kahawa aache.
 
Yani mataifa yanapambana tunaona ye anashiba mihogo analeta propaganda za siasa,,

Vijana wapambane kesho, nataka wadraw tu
 
Back
Top Bottom