2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Inaonekana maana 2-0

Bahat yao offside

Hawa Angola wakae chonjo huu mpr wa Algeria ni wa hatr hlf huyo forwar wao


Baghdad Bounedjah atawatoa roho falaa anaoneka kama amepania kupata kiatu vile ananyumbulika sio kawaida.
Huyu Tau huwa hana umakini golini hata akiwa Ahly, uzuri wake ni kukokota mipira tu kama akina Kibu.
Ndio maana brighton palimshinda mpira wa ulaya sio wa kukimbiakimbia kama mbuzi wakufugwa
 
Percy tau hana akili
Anamapepe sana anakimbia kimbia kama mwehu tu mda mwngne.

Anaweza tu fanya dribbling vzr lkn utulivu golin mda mwngne anaukosa kbs.

Kaenda kupiga penalty kachagua very difficult skill ya kutaka kupeleka mpr akafungie juu anapotagia ndege.. Baada afanye maamuz simple tu.. Mwshoe mpr ukapaa wote.
 
Hawa Mali watapigwa michuano mikubwa kama hii unamuamini vipi langoni golikipa mfupi, ina maana taifa zima la Mali wanakosa kabisa golikipa mrefu mwenye uwezo?
 
Maamuzi Simple imebidi nimuwaze Kagere [emoji23][emoji23]
 
Penati ya Tau
Your browser is not able to display this video.

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…