United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Inaonekana maana 2-0
Bahat yao offside
Hawa Angola wakae chonjo huu mpr wa Algeria ni wa hatr hlf huyo forwar wao
Baghdad Bounedjah atawatoa roho falaa anaoneka kama amepania kupata kiatu vile ananyumbulika sio kawaida.
Ndio maana brighton palimshinda mpira wa ulaya sio wa kukimbiakimbia kama mbuzi wakufugwaHuyu Tau huwa hana umakini golini hata akiwa Ahly, uzuri wake ni kukokota mipira tu kama akina Kibu.