Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #1,541
[emoji23]Mashuti mengine kama haya ya kumlenga yanampa tu ujiko Diarra
Uto leo wako Mali au South Africa?Upepo umebadilika, Mali anakimbizwa
NjeFaulo kwa wazulu hapa dakika ya 43
MaliUto leo wako Mali au South Africa?
Hakuna save yoyote ya maanakwa timu zote ni mashuti madogo na yasiyo na machoMmeona Diarra.
Amefanya save ya maana sana
Ndio japokuwa ni home boi tuwe tunaangalia na circumstances tuditoe tu ujiko kwa kila kitu[emoji23]
oya mim sio yanga ila uyu jamaa mpira ulaya anacheza vizuri tuDiara bonge la kipa
Uto wote wapo mali leo[emoji3]Uto leo wako Mali au South Africa?
Hata hicho kichwa?Hakuna save yoyote ya maanakwa timu zote ni mashuti madogo na yasiyo na macho
Tatizo kimooya mim sio yanga ila uyu jamaa mpira ulaya anacheza vizuri tu