1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Hii michuano niliichukulia poa,, lakin nashawishika kila mechi naangalia,, hakuna mnyonge hadi sasa,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamekula wawili tu bana. Usitudanganye nasi tunaangalia.Mabeki wote wanne wa Mali washakula kadi ya njano.. Soon kipind cha pili wakileta masihara m1 wao atakula umeme.
Yaan hata mim naiwazia sana Taifa stars yetu, sijui kama tutapona keshoKwa jinsi timu zinavyoubonda hapa bado naiwazia stars
Sio uchawi ni ukweli save ipi sasa wakati hiyo no 10 ya south ina wenge kweli
Wamemtoa De gea utafikir man u hata inacheza mpr wa namna iyo kumtaka onana kuja.Hizi njama dhidi ya de gea
Shaulile ana 34? Mie najua yuko chini ya 30 woiiiiiihndie alietoa assist ya goli namuheshi sana huyo jamaa kwa kitu kimoja tu nacho ni kutodanganya umri wake jamaa ana miaka 34 lakini ukimuangalia ukiambiwa ana 26 haukatai !
Ulaya hawezi cheza huyo hata Africa kwenye top club hachezioya mim sio yanga ila uyu jamaa mpira ulaya anacheza vizuri tu
South Africa wana kitu,,Mimi naenjoy mpira wa South Africa, jamaa wanapiga mpira na hili wala sio swala la ujiko.
Hivi ni lini ligi yetu itaanza kuzalisha wachezaji wazawa wenye uwezo mkubwa kama ilivyo kwa hawa wenzetu?
Nilitk kusema beki wa kati wote wawili wamekula njano.Wamekula wawili tu bana. Usitudanganye nasi tunaangalia.
Nilivyoona hizo 00 umenikumbusha Joseph striker letu tuliloshusha janaHalf Time.
0-0
Kimo kitamzuia.oya mim sio yanga ila uyu jamaa mpira ulaya anacheza vizuri tu
Siungi mkono siasa katika michezo hasa hapa home ila nawaza ina kiwango cha mpira robo ya hizi timu zinazochezawew bado unaiwazia CCM tu utakufa siku sio zako Eti timu ya taifa had leo ina omba omba mara sjui mchango mara sjui Baba levo
nyekundu ya dhurumati ile refa mshamba sana yule
ashindwe kucheza ligi ya norway ,Sweden,Denmark wavuta Bangi kina Bobani walicheza huyu anashindwa ninUlaya hawezi cheza huyo hata Africa kwenye top club hachezi
Hata mimi sio Yanga kama wewe
Mabeki wote wanne wa Mali washakula kadi ya njano.. Soon kipind cha pili wakileta masihara m1 wao atakula umeme.
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwa jinsi timu zinavyoubonda hapa bado naiwazia stars
Mpaka tuweke mifumo wezeshiMimi naenjoy mpira wa South Africa, jamaa wanapiga mpira na hili wala sio swala la ujiko.
Hivi ni lini ligi yetu itaanza kuzalisha wachezaji wazawa wenye uwezo mkubwa kama ilivyo kwa hawa wenzetu?
Ile naona wameonewa refa akutulia[emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hata timu inafungwa mpaka unaumia. Timu kama Mauritania [emoji1163] imeniuma sana.
Ila Zwane ni talent kubwa sana.Nilitaka kusema hili. Kuna huyo Modiba anayecheza kama beki 3 nilitamani sana kumuona akiwa katikati.
Jamaa akiwa kati huwa ni fundi sana na left yake.
Unakumbuka goli la 2 dhidi ya Wydad fainali ya African Football League?
Mamelody hapo wapo 6. Hatari sana.
Wananikumbusha ile Spain [emoji633] iliyotwaa World Cup 2010 ilikuwa inatembea na rhythm ya Barcelona