2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Yes. But napenda kumona huyo Modiba na kiungo Mokoena. Ila napenda fighting spirt ya Mudau. Mimi kwakweli South Africa [emoji1221] ndio nawashangilia achana na watumikia siasa.
Team yangu AFCON hii tangu inaanza ni SA, hata ikitoka sitakuwa na nyingine zaidi ya kuenjoy mpira.
 
Hawawezi kusajili kipa toka Africa mwenye kimo cha 1.79m huyo ataishia kucheza hapa hapa kwenye ligi zetu hata hapo Morocco tu au Egypt hawachukui huyo kipa
Mpira wa nyakati hizi hauna ulazima wakuwa na ma mtu makubwa unahitaji watu wenye akili sana Ndio maana unakuta mtoto mdogo kama Xavi simon anaweza lichalanga jitu kama Zambo Anguissa na lisifanye kitu chochote kile
 
Back
Top Bottom