2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Refa kama anamaelekekezo ya rais wa Caf
Haha haiwez kua kwa sbb hata iyo Kiwiko kilicholeta penalty kawaonea tu huruma.

Ilikua penalty na Red Card juu.. Washkr tu kua alivompiga kiwiko alikua anajifanya anaangalia mpr lkn ukwl ni kwmb alikua anajua anampiga mwenzie kiwiko.

Kwhy kilichomuokoa kwny sheria ni neno Deliberate au laa ikaonekana kwmb yy hakukusudia kufny ivo.
 
Back
Top Bottom