2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Aisee south africa wanaubonda sio mchezo,hawa wajinga wanajua bolu hatari
Hii inakupa picha ni kwanini team iliyikuwa inashuka daraja huko PSL ili sumbuana sana na vigogo kwenye shirikisho, tena ikiwa na wazawa tu.

Jamaa wanakuza vipaji.
 
Back
Top Bottom