Mwache atuoshee...Diarra kashaanza manjonjo
Ni match gani unaangalia [emoji1787][emoji1787]DK 87'
Mali 1 - 0 RSA.
Na sisi baadae upepo unaweza kuwa upande wetu!!Msumbiji wanapiga ball bwana wewe mwenyewe nafikiri uliona
Corrected mkuuNi match gani unaangalia [emoji1787][emoji1787]
Hawajawahi kupoteza match ya ufunguzi tangu waanze kushiriki mashindano haya.Hawa Mali hata kuwaachia wenzao kimoja hawataki
Ni match gani unaangalia [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Konyagi.. usilewe ukiwa unatazama mpira. Unaweza geuza matokeo. [emoji3][emoji3][emoji2]
Hawajawahi kupoteza match ya ufunguzi tangu waanze kushiriki mashindano haya.