Goodluck Mchika
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 1,228
- 1,138
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzoefu pia wachezaji wengi wa. Ulaya wa mali waonesha ubora waoDirect football imeshinda dhidi ya biriani
🤣🤣🤣🤣Leo pakikucha kichwa cha mwendawazimu kipo uwanjani
😂😂😂😂😂Mechi ya Stars sijui itakuaje sio kwa mpira huu unaopigwa hapo Ivory Coast.
Aende tu ulaya.Amefanya vizuri always ni kipa mzuri
Baadae saa 2 usiku.Sio kesho ni leo subiri pakuche
Haya majamaa yameanza kusaka sifa.
Amadou Haidara ni bonge la mido hapo Mali
Tbc wa hovyo sana wemeweka mahba mbeleHalafu mtangazaji wa TBC anatuambia Williams ana footwork mbovu sana
Hawawezi kusajili kipa toka Africa mwenye kimo cha 1.79m huyo ataishia kucheza hapa hapa kwenye ligi zetu hata hapo Morocco tu au Egypt hawachukui huyo kipa
Inauma sana mkuu hadi nikiona namna Namibia na Mozambique wanavyovuja jasho kumhenyesha mwarabu. Nikijaribu kuvuta picha na huku kwetu naishia kucheka tuUmeandika kwa uchungu sana
Hiki ndio watanzania mnakiweza, wivu, husda na majungu,Hawawezi kusajili kipa toka Africa mwenye kimo cha 1.79m huyo ataishia kucheza hapa hapa kwenye ligi zetu hata hapo Morocco tu au Egypt hawachukui huyo kipa
Hakuna cha ulaya wala nini ni uwezo na kujitumaUzoefu pia wachezaji wengi wa. Ulaya wa mali waonesha ubora wao
Mpira wa nyakati hizi hauna ulazima wakuwa na ma mtu makubwa unahitaji watu wenye akili sana Ndio maana unakuta mtoto mdogo kama Xavi simon anaweza lichalanga jitu kama Zambo Anguissa na lisifanye kitu chochote kile
Huo ndio uhalisia hata adake vipi huko Afcon hakuna klabu ya Ulaya itatamani kuwa na kipa mfupi wa kimo chake na hicho ndio kimemfanya mpaka sasa kuwa ligi yetu hii na wala hawezi kutoka kwenda sehemu ya maana labda kwa majirani zetu hapa hapa afrikaHiki ndio watanzania mnakiweza, wivu, husda na majungu,