Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Hizo ni nafasi za ndani ndio hawaangalii kimo na umbo ila nafasi ya goal keeping kimo ni kitu cha kwanza kuzingatiwa kabla hawajaangalia hata huo uwezo wako hata uwe unaruka kama nyani lakini ukiwa na urefu wa futi 5 Ulaya utapasikia tu hakuna timu ya kusajili kipa mfupi wanajua udhaifu wake ni vile tu huku ligi za Afrika hatuna wachezaji wazuri wa kutumia hayo mapungufuMpira wa nyakati hizi hauna ulazima wakuwa na ma mtu makubwa unahitaji watu wenye akili sana Ndio maana unakuta mtoto mdogo kama Xavi simon anaweza lichalanga jitu kama Zambo Anguissa na lisifanye kitu chochote kile
KWenye ligi kama Epl,Laliga ama Bundesliga diarra anaweza kumaliza msimu kaokota si chini ya goli 50+