Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #361
Egypt starting XI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna beki zembe sanaMafarao wanaongoza dakika za mapema tu
Nshaweka vikosi tayari mkuuEgypt starting XIView attachment 2871853
Sawa mkuuNshaweka vikosi tayari mkuu
Cameroon nao wanajidhalilisha tu, kwanini wasimuache akafika hadi Ivory Coast halafu wamkataeBaada ya mchezo wa Spurs atakwea pipa kwenda kuungana na wenzake huko AFCON
Dharau
Goli kashinda naniDakika ya 2 tu tumepigwa
Wanacheza na Mabingwa mara 7.Hawa Wamakonde wakizubaa watakula nyingi
Sure, nimeonaBaada ya mchezo wa Spurs atakwea pipa kwenda kuungana na wenzake huko AFCON
Dharau
Uzembe kidogo tu wa mabeki.Hawa wareno weusi mbona wamepigwa mapema hivi jirani zetu.
MostafaGoli kashinda nani
Ngoja tuone maana wamenusurika kuongezwa la piliUzembe kidogo tu wa mabeki.
Anyway mpira Unaendelea
Wameshawekwa kimokoNasimama na Mozambique