uran
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 10,392
- 15,948
😂😂Atakua yuko makini sana kuangalia madogo wanaolisakata boli kisawasawa😁!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂Atakua yuko makini sana kuangalia madogo wanaolisakata boli kisawasawa😁!
Wanacheza unaona pattern kabisa za modern football sio butua butua.Ni kweli, ukiangalia timu zingine zinavyocheza. Sisi wazigua tumeenda kuruka ruka na kutalii huko AFCON.
Alishatangaza kustaafu timu ya taifa wakamuomba arejee.Cameroon nao wanajidhalilisha tu, kwanini wasimuache akafika hadi Ivory Coast halafu wamkatae
Tunaweza kuwashangazaWanacheza unaona pattern kabisa za modern football sio butua butua.
Msumbiji ni wanyonge kwa Misri lakini wanagusa.
Subiri uje uone pira JKTTunaweza kuwashangaza
Timu zao zinakatisha tamaaZamani AFCON ilikuwa na msisimko mkubwa sana.
Vikindi vya ushangiliaji vya timu mbalimbali vilichagiza sana michuano.
Timu kama Nigeria walikuwa na vikundi vyao vya ngoma vya ushangiliaji vilikuwa maridadi sana!!
Siku hizi ni utopolo mtupu🚮🚮🚮
Micky anasikitikia mahudhurio viwanjani
View: https://x.com/MickyJnr__/status/1746555830034481215?s=20
Miundo mbinu ya usafiri ni migumu sanaTtz nchi nyingi za africa wananchi wapo hoi kiuchumi na miundombinu duni
Hizo timu hazishindwi ila kuna mkono wa wakubwa katika kukwamisha mipanho ya uwanjaHaka kauwanja nimekaelewa hivi Simba na Yanga wanashindwa kujenga ?
Una kichaa wewe 🤣🤣🤣🤣Haya ma Msumbiji Yanga anaweza kuyapiga hamsa
DaaahHaya ma Msumbiji Yanga anaweza kuyapiga hamsa