Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Muda wa kupaki bus bado sana wapige ball kama mwanzo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wamakonde wana balaaaWamakondee hoyeeee
Hii misri anakufa hiiJapo dakika bado nyingi.
Ila sio mbaya
Egypty wamezidiwa katika huyu elneny anadhura tu hapo katika kama acheza europeCha motooooo
Goli wanarudisha hiliHii misri anakufa hii
uyu mzungu wa msumbiji yupo vizuriMafarao yamechanganyikiwa Sasa
Sana...uyu mzungu wa msumbiji yupo vizuri
🤣🤣🤣Ngoja tuoneGoli wanarudisha hili
Si umeona wamebadilisha matokeo huko. Ungekuwa ule ushuzi wetu, ungeona mabango ya Nani kama Mama huko kwa watu. Siasa uchwara kila sehemu.Wanacheza unaona pattern kabisa za modern football sio butua butua.
Msumbiji ni wanyonge kwa Misri lakini wanagusa.
Kabisa wana balaa sanaMajirani hawako kinyonge
Naunga mkono hojaSi umeona wamebadilisha matokeo huko. Ungekuwa ule ushuzi wetu, ungeona mabango ya Nani kama Mama huko kwa watu. Siasa uchwara kila sehemu.
Aje kupata gundu Kama Yule mungineKafanya mambo makubwa sana.
Uzuri Simba tushamwona...
Wamakonde sio staz mkuu 😂Goli wanarudisha hili
Ngoja uone Morocco watakavyowatahiri CCM FC.Timu zenye majina makubwa nyingi zinacheza hovyo
kasharudi warabu hawataki mchezo kabisa bora afie uwanjaniHuyu mchezaji wa Misri kapasuka