2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

TBC ni wakucharaza viboko yaani matangazo wamekatisha wanarudi studio kuchambua mpira ambao bado unaendelea kisa mitambo yao imezingua halafu cha ajabu hata hawaombi radhi
 
Nimeangalia sherehe za ufunguzi wao walipoonyesha tamaduni zao halisi zile za vodoo nikafananisha na sisi tulipofungua Yale mashindano ya Simba ya big 8 nikaona aibu
 
Mbona sioni game leo startimes hapa kwenye zile channel zao za michezo?
 
TBC ni wakucharaza viboko yaani matangazo wamekatisha wanarudi studio kuchambua mpira ambao bado unaendelea kisa mitambo yao imezingua halafu cha ajabu hata hawaombi radhi
Sio TBC tu hata huku 222 Supersport Football Plus HD nako wamekatisha
 
TBC ni wakucharaza viboko yaani matangazo wamekatisha wanarudi studio kuchambua mpira ambao bado unaendelea kisa mitambo yao imezingua halafu cha ajabu hata hawaombi radhi
TBC hapo unawaonea tu .

Hata hao DStv pia hawana camera uwanjani wanapokea tu matangazo, hivo hivo kwa Azam

Inshort channel zote zimekata kwasababu feed ni moja
 
Back
Top Bottom