2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

2024 Africa Cup Of Nations (AFCON) | Special Thread. Mechi ya fainali, FT: Nigeria 1 - 2 Ivory Coast. Ivory coast abeba ubingwa. 11.02. 2024

Kuanzia leo sitashangaa kuona MAMELOD anaupiga mwingi, hebu fikiria hii team 90% ni Mamelod na hawa ni wachezaji wa ndani nchi (kasoro TAU).

Hebu fikiria Taifa Stars iende na wachezaji wa Yanga au Simba Sc ambao wanacheza ligi yetu ya ndani, tutatoboa?
 
Back
Top Bottom