Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Msumbiji wanapiga ball bwana wewe mwenyewe nafikiri ulionaMozambique alimmudu Egypt vizuri tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msumbiji wanapiga ball bwana wewe mwenyewe nafikiri ulionaMozambique alimmudu Egypt vizuri tu
Ndio football.Harakati za Simba na Yanga zinaendelea mpaka Afcon
Mo anamwonaAmadou Haidara ni bonge la mido hapo Mali
Kabisaa yaaaniHii defending ya mali ni ya kuigwa
Yes. Kama jana kocha wa Angola [emoji1029] alitoa mtu dakika ya 40 tu akaingia jamaa mmoja anaitwa Mabululu kilichobaki ni historyKocha wa mali amefanya vzr san
Anacheza RB Leizpig bila shaka…jibu ushapataMo anamwona
Kwa mbinu za Kocha wa Tanzania [emoji1241] nakuhakikishia tunarudi bila hata kufunga goli moja tukumbushane hapaSisi tukatafute droo tu...
Morocco 1 -Tanzania 1
🤣🤣🤣🤣Anacheza RB Leizpig bila shaka…jibu ushapata
Hawa wazulu bangi sana
NakaziaKwa mbinu za Kocha wa Tanzania [emoji1241] nakuhakikishia tunarudi bila hata kufunga goli moja tukumbushane hapa