United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
jamaa wana rekodi nzuri sana ya kushiriki kombe la DuniaTunisia wanakata unyonge hapa
Huwa nikisikia Tunisia nakukumbuka ile iliyowika sana baada ya kumpa mbrazili moja uraia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
jamaa wana rekodi nzuri sana ya kushiriki kombe la DuniaTunisia wanakata unyonge hapa
Huwa nikisikia Tunisia nakukumbuka ile iliyowika sana baada ya kumpa mbrazili moja uraia
HahahaScreen protector wa Uto
Huyo Diarra mbna mshuti wa kibu hata hakudakaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mpira aliyepigiwa manula juzi ni pigo from holland makipa wengi hawezi kudaka mizinga kama ile kamulize martinez wa argentina mipira kama ile ilivyomtesa
afu wana yule mchezaji wao kipara anacheza mbele pale sjui yuko wapi babu iviTunisia wanakata unyonge hapa
Huwa nikisikia Tunisia nakukumbuka ile iliyowika sana baada ya kumpa mbrazili moja uraia
jamaa wana rekodi nzuri sana ya kushiriki kombe la Dunia
Kachabangwaaaa tayariiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Screen protector wa Uto
Lile la kujifinga bahati mbaya limeharibu jamani 🙆Point 3 za kwetu
Leo hana clean sheetTunarudisha hili. In fact tumepoteana, yale mashambulizi mfululizo yalikuwa hatari.
Hesabu zilikataa kwa mdaka mishale wetu, sio mbaya.
Game bado mbichiLile la kujifinga bahati mbaya limeharibu jamani 🙆
afu wana yule mchezaji wao kipara anacheza mbele pale sjui yuko wapi babu ivi
31Dakika ya ngapi wakuu nikamcheki diara
alikua ana fight sana yule BabuNadhani hajaitwa ni kipande cha mtu hivi jina limenitoka
YeahGame bado mbichi
kocha wao kichaa huyu anamuwekaje nje Bissouma afu anataka ushindiMali piga la pili basi