Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Sisi tuna watu next game lazima TZ nimpige nyingiCongo wana mpira mkali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tuna watu next game lazima TZ nimpige nyingiCongo wana mpira mkali
Yaaan walikuwa wapigwenmoroco leoDRC wametoa upinzani mkubwa sana na kidogo washinde, daah hiyo mechi ya mwisho kwa hiki nilicho kiona leo tujia andae.
Ndenge nini? How are you in lingalashikamoooo Congo 🇨🇩
Hahaaaa muda wa kizimkazi stars kuingia uwanjani na TANESCO wanatuzimia umeme huku Makambako.watoto wa mama kizimkazi mda wetu wa kutukana unakuja
Mtapigwa kama ngomaIla hii mechi na zambia kama naona tunaweza toshana nguvu hivi 😄
CCM imeingia wapi Mkuu, fanya kazi siasa hazitokusaidia Chochote zaidi ya kujitafutia stress za kipuuzi na kufa mapema.Huna timu ya Taifa Una timu ya CCM ova ,kifupi huna utaifa hivi hamuelewi wapi
Merci Beaucoup mvupa
Naona kama leo tutafanana tuuMtapigwa kama ngoma
Una lolote la kuongea kwa kiwango cha leo cha DRC na mechi ya tatu itakayo kiwa zidi yetu.... au ndio tuwe wazalendo maana daaaaahhhh sijui kama tutatoka kwa DRC.Yaaan walikuwa wapigwenmoroco leo
Wanataka kupita, unawaona kabisa wanavyoforce.Congo wana mpira mkali
Sema Leo mkipambana mtashindaNaona kama leo tutafanana tuu
Morroco chupuchupu waukalieMerci Beaucoup mvupa
Kabisa sema refa kawabebaMorroco chupuchupu waukalie
Alikosa penati kwenye nusu fainali ya uefa kati ya Chelsea vs Barcelona 2013Penalty kukosa sio ajabu hata hao uliowataja walipokosa tuliwatukanisha[emoji16]
Lkn unaweza kuniambia penalty ya muhimu ambayo messi aliwahi kukosa?
Mi nipo Zambia. Sisi wanyiha na wazambia ni ndugu.
Hiv hii ni Ile Morroco ya kombe la Dunia au hii ni nyingne mbona wanaonekana wakawaida sanaKabisa sema refa kawabeba