Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #3,681
Tuna bahatiVAR lazma itahusika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuna bahatiVAR lazma itahusika
Ndo uwezo wake umeishia hapoila mechazaji ya AZAM asa upupu gani anafanya
afu kuna mtu anakwambia mnoga ni mbovu anashindwa kujua hawa jamaa ni wazuri sana ona dogo wa Azam anavyoangaikaYaani banda anateleza tuu
Kwakuwa anatujuaKocha wa Zambia amewaingiza Chama na Musonda kimkakati . Kwamba Wanajuana
Hadi AibuCommentator a very negative way of taking free kick
Wanalazimisha kucheza back passes wakati uwezo hawanaAliyefundisha mchezo wa back passes kwa wachezaji wa Tanzania alaaniwe kabisa🤔
YeahKwakuwa anatujua
Na hatutabadilika. Hii nchi tunafanyiwa ufisadi hadi na wachezaji daahHali ni tete kama tusipobadilika.
Bado watapigwa tu, huu ushindi wetuKocha wa Zambia amewaingiza Chama na Musonda kimkakati . Kwamba Wanajuana
ila leo tunaondoka na point tatu tena kwa bigwa wa mwaka 2012 unasemaje apoHatujui tu mpira bwana haiitaji ujuzi kuliona hilo.