Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Ikifika zamu ya kutukera na sisi tutahadithiaHuyu refa anawakera wazambia kinyama😀
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikifika zamu ya kutukera na sisi tutahadithiaHuyu refa anawakera wazambia kinyama😀
Ha ha haYaani kama sisi ndio tuko pungufu daah😩
Mzamiru YasiniHa ha ha
Halafu kuna jamaa mmoja ana kipara pale kati, kila akipata mpira lazima arudishe nyuma hata kama mbele kuna nafasi
Mpaka KeroAliyefundisha mchezo wa back passes kwa wachezaji wa Tanzania alaaniwe kabisa🤔
Japo sio Dotto MagariWamekutana wote wasio jua kurwa na dotto
Makosa makubwa stars inacheza kwa mindset ya kujilinda..Mpaka Kero
Unakazwa na Musonda rudi kwenu we mzambiaMwisho wa gemu 1 : 1