Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #3,961
NilionaNilimshauri mapema sana mkuu kam uliona kule juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NilionaNilimshauri mapema sana mkuu kam uliona kule juu
Hahaha poleni sanaNamibia tumeingia kwenye mfumo
Tunakandwa haswaHahaha poleni sana
Namibia tumeingia kwenye mfumo
Feisal analalamika wanashindia tende na maji ya azamHivi zile pesa walizopewa Taifa stars zilifika kweli?
Pengine hilo ndio tatizo la wao kutaka kurudi
Ndumbaro lazma ajipigie 10%Hivi zile pesa walizopewa Taifa stars zilifika kweli?
Pengine hilo ndio tatizo la wao kutaka kurudi
TuwatehamaaaaakabisaaakhaNamibia tumeingia kwenye mfumo
Heheheee..maana wachezaji wameshinda moja lkn wakawa kama hawataki ushindFeisal analalamika wanashindia tende na maji ya azam
Kuna nchi inaifikia China kwa hivyo ulivyo andika ?Nilitaka kusema hili. Ujamaa unatengeneza mentality ya kufanyiwa na kuwa na ndoto kuwa mambo mazuri yatakuja yenyewe. Hii inajengeka na kuwa tabia ya raia wote. Hawaamini katika bidii, ubunifu, ufanisi na upambanaji.
Full kusakama yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji23][emoji23]Wanabalaa Hawa wanashambulia mwanzo mwisho
Kabisa myFull kusakama yaan [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]