Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Tunajificha sana ndan ya box
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilimix madesa ni Ivory coast ndo wanasuburiaIvory Coast vp mkuu!!!?
Kila akikaba ni lazima afanye foul.Ila mwanetu Himid miguu mizito sana
Ok!Nilimix file ni Ivory coast ndo wanasuburia
awa mbuzi wanacheza mpira wa ovyo sana sizani kama kuna GoliTukifika golin tunakosa utulivu tukilekebisha hapo tutapata gol
Lazima uone aibu kama huna elimu. Kiazi weee.Naona aibu.
Elimu, Elimu, Elimu.
Wacongoman hawana mbambambaSisi Wasafwa asili yetu ni Congo(Google). Nina ndugu anaitwa Mayele(Ukweli kabisa). Mungu wabariki Wacongo
unaota wew kwa pira la ajabu hiliHapo mbele tukibadilika kidogo kuna goli.