Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zaidi ya 10mil ๐ฅAngalia ligi ya Sauzi hela anayopewa man of the match ibadilishe ije kwenye hela zetu uone, nakuunga mkono mpira pesaโฆView attachment 2884925
KawekaMabululu aka Kibu D.
ametukosa kosa hapo
Na Kwa namna anavyopokea mpira na anavyotoa pasi na anavyokaa kwenye positionHuyu Mabululu ni mchezaj.
Mchezaj unamjua tu.
Sana.Wachezaji wa Angola wana nguvu sana awa ndio Angola wa mpira
Hewaaaaaa....shalulile anawakosakosa angola hapa
utu toto twako ni tupambuvu sana tunataka kucheza open mechi wakati wanaona kabisa Angola kwenye counter ni wazuri sana asa Ngoja wale mkonoKaunta moja safi sana
VishapoteanaWatoto awa wakiendelea kuleta utani wanakula mkono
Kbs mkuu.. Yan unajua kbs hapa kuna mchezaj.Na Kwa namna anavyopokea mpira na anavyotoa pasi na anavyokaa kwenye position
unajua kabisa huyu fundi
Yaah! kwa mipira mirefu, Angola wako vizuri sana refer game yao na Mauritaniautu toto twako ni tupambuvu sana tunataka kucheza open mechi wakati wanaona kabisa Angola kwenye counter ni wazuri sana asa Ngoja wale mkono
Vimeingia kwenye mfumo.Vishapoteana