Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #5,921
Huyu namba 9 wa Cameroon ni Lukaku mweupe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Etoo na yeye anatembeza vibahasha?Kocha msaidizo anapokea simu akiwa kwenye benchi bila shaka ni ya Etoo🤣🤣
Asbr tu taifa lake soon linatupwa nje.Drogba nae yupo jukwaani
Akienda palestine israel watakimbiaHuyu beki wa Cameroon aliyemdhibiti Osimhen unaweza kwenda nae vitani
Mtu kaziAkienda palestine israel watakimbia
Kama uliwahi Kumsikia Mgaa Gaa na Upwa ndio Huyo sasaHuyu Osimhen anavurugu na anajua kulazimisha.
Huyu huyu Lukaku wa Belgium mwenye magoli 83 kwenye match 113 kwa timu ya Taifa lao au Lukaku wa Mburahati?Huyu namba 9 wa Cameroon ni Lukaku mweupe
Hadi huku nilipo kigamboni inasikitisha sana hii imelaaniwaUmeme Usha katiwa.
Huku
Huwa hawali wali mkavu hao😂🤣Kama uliwahi Kumsikia Mgaa Gaa na Upwa ndio Huyo sasa
Hapana mkuu ni Lukaku wa Kizimkazi ya BelgiumHuyu huyu Lukaku wa Belgium mwenye magoli 83 kwenye match 113 kwa timu ya Taifa lao au Lukaku wa Mburahati?
Atalanta.Huyu dogo Lukman yupo vizuri,sijui pale Italy anachezea timu gani.