Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #5,941
70’ Nigeria 1-0 Cameroon
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AtalantaHuyu dogo Lukman yupo vizuri,sijui pale Italy anachezea timu gani.
Wakitia presha wanafungukaNigeria kuwa fungua ni kazi.
Hawa wakipiga goal la pili shughuli imekwisha
Cameroon uwezo wa kufunga goal la kutengeneza la kawaida ni ngumu sana.Wakitia presha wanafunguka
Mda wa mtu mzima mkongwe mtu mzima.Jitu mwitu msitu anaingia
Acha tuoneWakitia presha wanafunguka
Kweli mkuu hakuna build up kabsa na hii kutokana na ukuta mgumu wa nigeriaCameroon uwezo wa kufunga goal la kutengeneza la kawaida ni ngumu sana.
Wao wanategemea magoal ya kichwa.
Song Kazingua huyu ilibidi kipindi cha Pili aanze, sasa Dk ya 80 saiziMda wa mtu mzima mkongwe mtu mzima.
Ukichangiwa na ubovu wa Cameroon pia.Kweli mkuu hakuna build up kabsa na hii kutokana na ukuta mgumu wa nigeria