Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #6,621
Kipindi cha pili namkanda huyu mwarabu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipindi cha pili namkanda huyu mwarabu
Kabisa 😂Na Inabidi kujitahidi Kumaliza Mechi ndani ya DK 90, Maana Matuta Hawa jamaa Kipa Lao lile ni Kama Jini.
Hata goli la DRC ule mpira wa kurusha haikuwa sahihi kurushwa na DRC, ilikuwa urushwe na Misri. Refa kaenda kwenye VAR katazama kuotea tu, kaacha kosa la anayestahili kurusha.Penati imetolowe kirahisi sana hii.
🤣😂😂Dah mobali na motema 🤣😂😂😂
Sio kweli aliyetoa ni mchezaji wa misriHata goli la DRC ule mpira wa kurusha haikuwa sahihi kurushwa na DRC, ilikuwa urushwe na Misri. Refa kaenda kwenye VAR katazama kuotea tu, kaacha kosa la anayestahili kurusha.
Ova
TunasubiriaHAWA KONGO WASIPOKUA MAKINI WATATOKA WANALIA
HII GEMU HAINA MATUTA NI KUIMALIZA DK 90.
Nimecheka kwa nguvu 😂😂Boli linatembeaView attachment 2886553
Ana papara sanaChekini huyu Bakambo..
hakuangalia hata goli yani.
Sasa Watu si watabembea na Skafu hiyoBoli linatembeaView attachment 2886553