Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Yeah!
Guinea uchochoro
Guinea sio wa kumchukulia poa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah!
Guinea uchochoro
Wanapigwa muda sio mrefu.Congo wanakosa utulivu
Wanashindwa kujiomgeza Farao kama watatu wana njano inabidi watumie huo udhaifuWanapigwa muda sio mrefu.
Kabisa. Hawa watatupeleka hadi matuta naona aiseeSiku ya kazi leo.. Achen ufala.
Malizen game dkk 90.
Na Kama Wakienda Extra tuu, muarabu atawauaSiku ya kazi leo.. Achen ufala.
Malizen game dkk 90.
Wanaruka ruka kuleta ufala tu.Kabisa. Hawa watatupeleka hadi matuta naona aisee
Kbs Congo atakata motoNa
Na Kama Wakienda Extra tuu, muarabu atawaua
Nyingi sana farao naona bado anajitafutaMuarabu atakula Umeme, Naona Ana Yellow Nyingi
Atakutana na kitonga cha Guinea 🇬🇳Atakayepita hapa atakuwa na mechi rahisi sana ya robo fainali
Ngoja mpigwe dk ya 95Huyu Mwarabu Tutapambana nae Hadi mwshoni
Eloko Ya Makasi💪
Ukipata muda, rudia kutazama na utaona kama mchezaji wa Misri hakupiga mpira, ila aligonga mguu wa Masuaku.Sio kweli aliyetoa ni mchezaji wa misri
Ngoma inaenda extra time hiiNgoja mpigwe dk ya 95