The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Hii Congo ya Leo si ile iliyocheza na kizimkazi yetuWote wamechoka sana. Kifuatacho ni dkk 30 za kujikongoja. Nashangaa mcongo anaonekana kachoka zaidi ya Mwarabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii Congo ya Leo si ile iliyocheza na kizimkazi yetuWote wamechoka sana. Kifuatacho ni dkk 30 za kujikongoja. Nashangaa mcongo anaonekana kachoka zaidi ya Mwarabu.
Sisi tumezidi masaa 2Hivi hawa Ivory Cost tunapishana Masaa Mangapi? Naona Wao kama bado Jioni
🤣😂Ndani ya dakika 90 Taifa Stars ilitoka sare na DRC. Tupo nguvu sawa
Hii mechi naona kama itaisha ndani ya hizi dakika 30 hiviiiiiiDakika 30 zijazo ataingia huyoo
KabisaHii mechi naona kama itaisha ndani ya hizi dakika 30 hiviiiiii
Hata hivyo Mayele sio yule wa Yanga, haeleweki!Huyo Mwl wao hamtumii sana
Masaa matatuHivi hawa Ivory Cost tunapishana Masaa Mangapi? Naona Wao kama bado Jioni
Ligi ya farao na bongo ipi ipo juu?Hata hivyo Mayele sio yule wa Yanga, haeleweki!
Sio kwamba hapewi tu nafasi?Hata hivyo Mayele sio yule wa Yanga, haeleweki!
RedRefa toa kadi ana njano huyoo