Ndombe Mubele
JF-Expert Member
- May 19, 2019
- 242
- 529
Amerudi kujiweka fiti akipona haraka atarud AFCON kama misri wataendelea na mashndanoKumbe Salah Karudi England Banah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amerudi kujiweka fiti akipona haraka atarud AFCON kama misri wataendelea na mashndanoKumbe Salah Karudi England Banah
Mmmh sawaCongo DR hii gemu ni yao Egypt mwisho wake ni hapo
Ni Jini huyo jamaa, Hasa kwenye Matuta, Na ndio alichokua anatakaTunza hii meseji, unamjua gabaski?
Congo DR wanataka penalty TU wao wanaziba Goli tu Ila Egypt washausoma mchezo wanalazimisha wapate Goli
Mjinga sana huyo kocha, na wakitoka leo aandae maelezo.Hivi kweli hawa jamaa waliwezaje kumuacha El Shahat
Watu wanatafuta penalty Egypt Out Congo DRDk 4 za kushikilia bomba.
Njoo vileMjinga sana huyo kocha, na wakitoka leo aandae maelezo.
Njoo vile MayeleMwanangu Inonga aaminiwe Penalty ya kwanza za mwishoni zina presha sana
Njoo vile EgyptAtakayeanza kupga penati wanatoka
Njoo vile ndo nn mkuu?Njoo vile Egypt
Anatetemeka Akikosa YuleMwanangu Inonga aaminiwe Penalty ya kwanza za mwishoni zina presha sana
Penalty hizo hapo utamkataa Gaboksi leo,Tunza hii meseji, unamjua gabaski?