The Lastdream
JF-Expert Member
- Jan 23, 2024
- 1,970
- 4,616
Farao wapo vzuri hizi sekta mkuuNjoo vile Egypt Out Congo DR In
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Farao wapo vzuri hizi sekta mkuuNjoo vile Egypt Out Congo DR In
Wanatolewa penalty leo yaan historia Ile ya gaboksi ilifika ukomo leoEgyptians ni kama wamefurahia draw
Qummk TANESCO wamekata umeme[emoji29]
Mzuri sana kwenye matutaGabasiki Leo kazi anayo
Usikariri wenyewe walijua wataifunga Congo DR kiko wapi mpira haudundi kwenye topeFarao wapo vzuri hizi sekta mkuu
Wapi? Leo ndio Leo zote NDANI Leo hachomoi hata mojaGabaski lazma acheze penat
Itakua CongoWapi huko mzee?
Job yako mlinzi au mchawi?Update jmn wengine tupo Job!
Atakayeanza kupiga anatoka atakayeanza kukosa anatokaUsikariri wenyewe walijua wataifunga Congo DR kiko wapi mpira haudundi kwenye tope
Katompa na mpira wapi mzee, akapigane boxing hukoKatompa Mvumpa
Ndio kawaida yao hawa jamaa kupenda penalty.Egyptians ni kama wamefurahia draw
DahhItakua Congo
Atakaeanza kufungua dimba Out Egypt OutAtakayeanza kupiga anatoka atakayeanza kukosa anatoka