OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio
apigwehaya ndugu zangu wabantu, tumebakiza mwarabu mmoja tu ambaye ni morocco.
siku ya game tuungane wote kwa pamoja kusapoti south.
nauliza Morocco tumfanye niniiiiiiiiiiii?
KabisaGabox kawachoma mafarao...[emoji2]
Inonga angekosa Leo benchika angemtumia salamu akAmwambia nenda kivu tu huku hakuna nafasi tenaoyooooooo wakongo tawi la mama kizi mkazi
Ana midadi anarukaruka utasema anadaka kumbe hamna kitu kbs.Hasa wa congo hakuwa ananipa matumaini kabisa ya kuja kudaka
Polee sana mwarabuWachezaji wa Al Ahly wakapumzike sasa waje watuondolee Kimbiji FC
Kumbe na congo hivyo hivyo hawajashinda hata 1 ndani ya dk90Na hajashinda mechi hta moja, yy ni draw tu
Gemu za kesho zote kali Mauritania anaweza akafanya maajabu akamtoa Cabe Verde Ila gemu kali ni Senegal na Ivory Coast kesho Ivory Coast watang'oa viti maana lazima wafie uwanjani na Senegal lazima wapiteEgypt wamekwisha, kila zama na zama zake
Leo wamekutana wazee wa draw.Kumbe na congo hivyo hivyo hawajashinda hata 1 ndani ya dk90
😂😂😂Haooooo 😂🤣🤣kimyaaa oooh gabasiki Kiko wapii
Hao walikutana pipa na mfuniko.Kumbe na congo hivyo hivyo hawajashinda hata 1 ndani ya dk90
Huyo ile aliotea huyo ni boxi tu si umeona kapigwa yoopeeeKumbe Yule Gabaski Afcon iliyopita Alikua anachupa Ina Taarifa za Kila Mpigaji Penalt na Upande anaopendelea Kupiga, Mechi ya Leo naona Hakua na Hizo taarifa Na Ndio Maana Akajiamulia Penalt zote Aruke upande mmoja Kama Akikumbana Nayo Sawa. Hongera Ba mutu ba Congo.