Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizimkazi sio afrika ni wahdzabe hawajui wanachofanyaMpira wa africa umekua wachezaji wana ari timu zinafungana magoli ilaaaaaaa...... wajukuu wa nyerere naona wamegoma kabisa
Hakika naangalia gemu roho inaniuma sana kuona wenzetu wako na morali kuitetea nchi zaoMpira wa africa umekua wachezaji wana ari timu zinafungana magoli ilaaaaaaa...... wajukuu wa nyerere naona wamegoma kabisa
Kweli hii nayo ona ni modern football ya ulaya kabisa sio butua butua ya miaka ya nyumaTuwe wakweli Soka letu la Africa limebadilika sana
Unaona kabisa move za magoli tofaut na zamani butubutu magoli yakistukiza
Huwezi kuitetea nchi yako kama hujawekeza na huna uwezo, ule ndio uwezo. Ishu ya perfomance sio kutetea tu na uzalendo na vipaji viwepo na uwekezajiHakika naangalia gemu roho inaniuma sana kuona wenzetu wako na morali kuitetea nchi zao
Hakuna anayemuogopa mwenzake, wanaona wanawezanaSema hizi sasa ndio timu wanagonga wote modern football balaa.
Hii sasa ndio mechi ya mtoano ukiondoa mechi zilizo tangulia
Hawa CV toka mashindano yameanza wanapiga soka safiHakuna anayemuogopa mwenzake, wanaona wanawezana