Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
- #8,221
Senegal wamepoa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamepoa sana tokea wapate goli,Senegal wamepoa
Acha tu maana yeye fimbo zake ni tofautu na hao wengine muache ajitumeAnajituma pekeyake
Wenzie hawana muda
Weee umri wa wacheza mpira fekero sana
Ivory coast ingepswa kumchezesha SEBASTIAN HALLER..Diakite ni taka taka
Yah ila sasa Kodivwaa wazembe wazembeWamepoa sana tokea wapate goli,
Ivory Coast wakikaza wanachomoa.
Hata angekuwa salah, au messi au ronaldo wasingepewaMane alistahili [emoji3590][emoji388],
Jina na u [emoji294] vime mbebaa.
Issue sio kajamaa kadogo issues hajui commentary umbea mwingi kuliko kinachoendeleaDogo yupo vzuri sana anafahamu mambo mengi sana, mfafilie kwa makini halafu nazareth ni kajamaa tu kadogo kadogo
Hata wewe inawezekana hujui lolote kuhusu mpira ila u mshabiki tu 😂Ukute waziri mwenyewe hajui chochote kuhusu mpira.