BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ivory Coast hawajui kupiga cross/faulo, wanabutua tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hiyo unanicheeeeka leo kisirisiri, we sawa b...Huo uliopo ndiyo mpya b..., labda arudishe wa zamani.
Ova
Naona umeanza kunena kwa lugha 😂😂Eeehh Yesu Mariah na Senegal 🙏🤠
Naona umeanza kunena kwa lugha 😂😂Eeehh Yesu Mariah na Senegal 🙏🤠
We hayo mambo ya mkewe ya nini b...? Niache bwana siku ishakuwa chungu hii tayari.Mkewe alirudi chuo lakini baada ya kumwoa. Wala hajaenda Ivory Coast.
Ova
Naona hii game iko kwa CIVSenegal hii game wakitoboa inabidi watoe kafara kabisa
Sent from my SM-A137F using JamiiForums mobile app
No! Nimefurahi tu kuwa hatimaye tumepata mechi nzuri. Kila timu inastahili hatua inayofuata.Kwa hiyo unanicheeeeka leo kisirisiri, we sawa b...
Wako hatariniSenegal wanateseka sana
Walifanya sub mapema walijua watamaliza game mapema, sasa wamechoookaHakuna kitu kama hicho mkuu, Senegal wanaonekana wazi pumzi zimekata hawawezi shinda mechi.
ThubutuuuuNaona umeanza kunena kwa lugha 😂😂
Ila tambua Senegal anakabidhi kombe leo 😂
114Dakika ya ngapi wadau ?