themagnificient
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 1,033
- 3,720
Mcongo huyu[emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida ya jamaa kupaisha ndege[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mcongo huyu[emoji23][emoji23][emoji23]Kawaida ya jamaa kupaisha ndege[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
WamekosaDah hawa mafala wanatak tukeshe tena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu Moroco Anasumbua Mahakama tuu, Kufungwa kuko Pale Pale
Live tena na ndowanasepa ivoNa karma ndo maana wamekosa.
Penalty halali kabisaHivi niulize tutaonewa hadi lini na hawa waaamuzi na maamuzi yao
Ma*ma*ke
Hawa wanaondoka leo.Siku ya kufa nyani
Tunaweza tusikeshe mkuu, Hakimi amesaidia pakubwa.Dalili ziko Wazi kabisa
Waarabu wote wanarudi kwao huruma sana Waarabu wanalia hawa wabantu kwanini wanatuburuza hiviMbona mnamaagia kunguni sana mwaraby
Hawa shughuli 90 tu mkuu.Live tena na ndowanasepa ivo
Mwisho wa Zama,Timu za kaskazini mwaka huu sio wao
Kapewa hadi tuta lakini wapi 😂😂Huyu Moroco Anasumbua Mahakama tuu, Kufungwa kuko Pale Pale
Ilikuwa halali mkuu, mkono haukuwa kwenye eneo la kufuatwa na mpira, ila pale ulikokuwa ni mkono ulifuata mpira.Ilikua sio penati