Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Walifungwa wasauz sio?Wamekataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walifungwa wasauz sio?Wamekataa
Dahhh Tanesco walichotufanya leo sio kabisa!Wameikataa goal
Game ya hadhi ya nusu fainali.Hii ndio nusu fainali sasa, mpira mkali.
NdioWalifungwa wasauz sio?
South Africa wanacheza counter AttackDahhh Tanesco walichotufanya leo sio kabisa!
Asante kwa update mkuu
Dalili nzuri hizoNdio
😁🤣😂Mchambuzi wa leo wa Azam ni wa hivyooooo!
Hafafanui mambo hata team napata kibarua cha kumueleweaha mama angu, mimi ndo nimekua mchambuzi sasa....
Naunga mkono hojaTeam zote zinabeki imara,ukuta wa yeriko,Nigeria wasikubali waende matuta
Pole, endelea kuchungulia hapa tutakuwa tunakupa updates usipitwe.Ndio mbili kasorobo wenye sekta yao wamekata dahh!