Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amepiga vibaya kichwa ila hakuna ukuta hapo...labd kipa wa SA ndo boraKakutana Leo na ukuta wa yeriko ,kama wa yanga
Dakika 90 zitaongeaAmepiga vibaya kichwa ila hakuna ukuta hapo...labd kipa wa SA ndo bora
Wakaze wakiruhusu goli hapo ni majangaSouth wanapiga mpira mzuri sana.
Itakua imekula kwao.Wakaze wakiruhusu goli hapo ni majanga
Nigeria wanatembelea bahati tuItakua imekula kwao.
Penalty....
😂😂😂Mlete nyau kwanza [emoji2]
ngumu sanaYani Naigeria inasongaaaa