Selikavu
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 6,346
- 14,546
Itakuwa umeclick vibayaNaona inaniletea kuingiza namba nanini sijui ndo huko au nimeclick vibaya??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakuwa umeclick vibayaNaona inaniletea kuingiza namba nanini sijui ndo huko au nimeclick vibaya??
🤣😁😂😂😂Nyie Yanga mnaotaka percy Tau afunge mkumbuke mna kibarua nae siku si nyingi...
Sasa hapa watarudi nyuma dakika zilizobakiNadhan mkuu sio bahat tu.
Nigeria anacheza mpr wa hesabu nyng Sana(Compact football)
Na Ana defense ngumu Sana kuichana Chana kwny vipande ufunge.
wamemtungua ivo ivo na uzuri wake
🤣😁😂😂😂Huyu ana balaaNyie Yanga mnaotaka percy Tau afunge mkumbuke mna kibarua nae siku si nyingi...
Nyau wenu muongozo...alimuua Ivory coast na Bado Mali wakatolewa
Naona bd wanatafuta goal hapa.Sasa hapa watarudi nyuma dakika zilizobaki
Wewe ni jasiri sana ila hapo kwa Congo DR ni balaa tupuHiii fainali is made for Naigeria and Congoleee
Congo haendi fainaili tunataka fainaili ya ivory coast na Nigeria tupate best matchHiii fainali is made for Naigeria and Congoleee
Yeah na hatuna subYani sijui mnaangalia lakini kipindi cha pili?? SA wamezidiwa kila nyanja
Nyau kwenye game zake 5 anapatia 4 😂😂😂.Nyau wenu muongozo...alimuua Ivory coast na Bado Mali wakatolewa
Simuamini hayaa kidooogo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
KabisaWewe ni jasiri sana ila hapo kwa Congo DR ni balaa tupu
Mpira ndo umeanza sasaaaaaHawa Watoto akili zitawakaa sawa sasa