Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Wazulu wameyatimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii imeisha
Zali tu hiyo...Yani Naigeria inasongaaaa
Sijui anasubiri nini..Yeah na hatuna sub
Jay Jay Okochaaa....Safiii sana Nigeria, napenda movies zenu, napenda muziki wenu na napenda soka lenu toka enzi za akina Daniel Amokachi, Babangida, Sunday Oliseh japo kizazi chenu cha soka tamu kilipotea ila bado niko na ninyi
SA game zake nyng 2nd half ndo ugonjwa wake.. Wanakua mafala.Yani sijui mnaangalia lakini kipindi cha pili?? SA wamezidiwa kila nyanja
Poleni jiunge nasi west Africa...Zali tu hiyo...
Kwakweli wanategemea sna penatiSA game zake nyng 2nd half ndo ugonjwa wake.. Wanakua mafala.
Umeona hzo Dakika zinavyopepea lkn?😃
Percy bora angekuja tu Froster wa BurnleyWatajutia zle nafasi walizozichezea
Morocco alipigwaje?SA game zake nyng 2nd half ndo ugonjwa wake.. Wanakua mafala.
Amna ile Penati kwelSouth Africa 🇿🇦 alimtoa Egypt 🇪🇬 . Refarii anatokea Egypt 🇪🇬.
South Africa 🇿🇦 lazima wafe.
Hawa ngj tu waende nje.Kwakweli wanategemea sna penati
Hapana, nipo ukanda wa SADC.Poleni jiunge nasi west Africa...
Nltaka kumuuliza hiliMorocco alipigwaje?