Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuta hili mzeeHakuna Penalty....
marefa watasahau kuangalia offside
Onana mrefuOnana na Williams nani mrefu?
Imeambatana na kadi NyekunduTuta hili mzee
Onana kakulia kwenye mifumo ya soka ya ulaya ana vitu vingi kuliko huyo mtoto afu kashacheza game nyingi za competion kubwa ulaya mfano last season kacheza finaili ya UEFA tofauti na huyo mtoto wako ubora wake mwingi kaprove hapa hapa AfricaOnana na Williams nani mrefu?
Haiwez kua tuta ilikua nje.Tuta hili mzee
Amekatwa nje sio penat ila red kadiPenalty na Red Card Juu
Unaota penality 🤣🤣Penalty na Red Card Juu
Ni fala yy kasikia tu contact akajua ndan ya box ngoja aanguke.Huja jamaa amezingua kwanza ameshindwa kwenda speed, ilikuwa nafasi nzuri zaidi kuliko kutafuta penati.